Wadada mnapenda tutokeje...

Tahadhari:Kongosho kwenye uzi huu anachangia kama mwanamke.
 
Hayo yote ni mbwembwe tu, kikubwa uwe celeb, mwenye hela, mtoto wa kigogo nk, hata ukivaa gunia siku ya date,hakuna atakayekukataa, achilia mbali mlemavu.
 
Hivi jamani naomba niulize, Ni sawa kumwambia mpenzi wako akabadilishe nguo wakati mnatoka kama hujapenda alivyovaa au unatakiwa uvumilie tu ufe kiofisa japokuwa unahisi anakuchoresha na nguo alizovaa.
 
sasa hapa itategemea kama umemzoea au lah??
kama mmezoeana unamwambia tu kuliko mnaenda afu unaishia kuwa uncomfortable eneo la tukio.
kama mm mmh nakuambia kibisa hapo hakuna aissee, kama ni first date nitakuvutia muda afu siku nitakuambia tuu siwezi kuvumilia mtu kuvaa rafuu au nisivyopenda aisee.
 
Mwanamme akiwa athletic anapendeza mavazi karibu yote hata kaptura na t-shirt.

Asa ukutane na kitambi cha mbege na miguu ya kuku afu uvae hivyo, utachekesha sana.
Suruali itakufichia mengi.

Unene hasara, ngoja nianze gym.
na ww una hili tatizo aisee kalishughulikie fasta bana.
hawa watu huwa hawapendezag hata, hata boxer haziwapendezii mmh.
 
Obsesd,

Akikwambia kwamba yeye yupo comfortable na hizo nguo alizovaa inakuwaje hapo?
 
Obsesd,

Akikwambia kwamba yeye yupo comfortable na hizo nguo alizovaa inakuwaje hapo?
mmh yan mm namwambia afu anasema ivo, anagoma hatakucope na swaga zangu aisee atakuwa sio type yangu huyo.
itabid tuagree kudisagree, tusichoshane kbs..... hatutawezana.
unajua wapo wanaojifunza ss kama anagoma anataka kuwa rafuu tu akatafute type zake huyo.
 
Hapo kwenye Red!! Duh.....:redface:

Obsesd,

Anakuja kukugomea baadae baadae wakati ushazama upo deep sana !
 
Obsesd,

Anakuja kukugomea baadae baadae wakati ushazama upo deep sana !
Mmh nitafall vp kwa mtu ambae sipendi anavyovaa, anavyoongea , anavyonukia na nikimwambia afanye iv hataki??
aisee siwez fall kwa huyo mtu, nakuwa mguu ndan mguu nje!
 
Mmh nitafall vp kwa mtu ambae sipendi anavyovaa, anavyoongea , anavyonukia na nikimwambia afanye iv hataki??
aisee siwez fall kwa huyo mtu, nakuwa mguu ndan mguu nje!

Ehhhh!!Kumbe..now i get the picture.
 
nimependa hii; well balanced na inazingatia mazingira ya mtoko wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…