wadada mnatia aibu sana, mnasinzia mno ktk daladala

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Sijui usiku hamlali, au mnafanya kazi sana au ni nini ttzo,
Tena mnaachia midomo duu,
mijasho chapa.

Sio wote lakini mnazinguaa
Huyu bibi wa pembeni yangu kma sio faiza foxy bahati
 
Sijui usiku hamlali, au mnafanya kazi sana au ni nini ttzo,
Tena mnaachia midomo duu,
mijasho chapa.

Sio wote lakini mnazinguaa
Huyu bibi wa pembeni yangu kma sio faiza foxy bahati
Kijana kua na adabu!!!
 
Wanachoka usikute analea huyo usiku mzima mtoto anasumbua
 
Uzi kama huu bila picha nisawa na kumtongoza mama mkwe
 
Sijui usiku hamlali, au mnafanya kazi sana au ni nini ttzo,
Tena mnaachia midomo duu,
mijasho chapa.

Sio wote lakini mnazinguaa
Huyu bibi wa pembeni yangu kma sio faiza foxy bahati
maharagwe ya wapi hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…