Mkuu elasticity zinatofautiana tu ila usituambie kuwa jicho halitanuki.
Kuna wale watani zangu wagogo wanakula ugali wa uwele na mtama, wakienda kukata gogo wanatoaga kitu "kinene na kigumu" kiasi kwamba usipokuwa na nguvu za kupush mzigo lazima ulie!
Sasa lile kimba la mtama huwezi kulinganisha na unene wala uimara wa dushe lolote lakini lectrum za wagogo hupush mzigo na baada ya hapo jicho hurudi mahala pake tu!
Though sishadadii watu wafumuane mitaro, ila makebo yana muscles imara tena fresh tu kama jinsi "mapapa" yalivyo isipokuwa matumizi kupita kiasi ndo humfanya mtu makebo yawe abnormal.