Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

Kiukweli wanaume imefika mahala tumewachoka, mahitaji yenu na malalamiko yamekuwa mengi sana aiseeeh'..!
Bora sisi imeshajulikana pesa, pesa, pesa na machine, ninyi hivi mnataka nini sasa wajameni.??
Tunataka chura
 
Hatimaye umeanza kuwaonea wivu wanavyonyonya. Tafuta nawe utapata ya kunyonya.



Hivi vivulana vibana suruali vina tabu! Kutwa kucha kushindana na watoto wa kike.
 
Tatizo ya kwenu haitoka kwa kuonekana, kama unayo inayotoka kama mkojo mie mbona nameza alfu narudi kwenye tunda ..! Nacheza na majora then tunafanya ile wanaita 69..! Si unaijua eeh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hadi kichefu chefu khaaaaah. [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Daah mkuu.! Nisamehe nimepitiwa.! Ila Chakorii lips denda zako mimi hoiii kijana wa watu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hujakosea mkuu ila nilikuwa sitaki utoke kwenye reli😅😅

Unapenda lips zangu ee..nitazikupa upige nazo picha
 
 
Usichopenda wewe Kuna mwenzio anakipenda, tukubali tu kuwa choice zetu haziwezi kufanana mkuu. Kama ya mume wangu ile kofia ya kichwa chake kilivyokaa na kubinjuka vile huna cha kunambia niache kuimba nayo aisee
Mama unanii lkn?
 
Mtoa mada hawakilishi mtizamo na msimamo wa wanaume, amejisemea yeye mwenyewe tu.

Mimi mwanamke bila ya kuwa Nasty kitandani achilia ndoa hata buku yangu haioni.

Acha wewe tafuta mlokole sisi tuache na hawa watoto wa mjini

Na kwakumalizia tu. Ukisikia mwanamke kahongwa gari ujue ni malaya, ukisikia mwanamke kahongwa nyumba ujue ni malaya, ukisikia kahongwa hela ni malaya, kakodiwa chumba ni malaya, kapewa lift ujue ni malaya.
Mwanamke ata koni harambi akapewe gari?
Wanaume wanatumia vipato vyao na kutupa muda wao mwingi kwa ajili ya hao wanawake wanaoitwa malaya. Hao unaowataka wewe ndio wale wanaishia kugeuzwa madada wa kazi baada ya ndoa.
 
Usichopenda wewe Kuna mwenzio anakipenda, tukubali tu kuwa choice zetu haziwezi kufanana mkuu. Kama ya mume wangu ile kofia ya kichwa chake kilivyokaa na kubinjuka vile huna cha kunambia niache kuimba nayo aisee
Hebu anzishia uzi hii mada tafadhali..

#YNWA
 
Siye walevi hapa ndiyo umuhimu wetu unaonekanaga nyie musiowataka, mukiwakataa, mukiwapa talaka sisi tunaokoa jahazi alafu vile tunawapa pendo la no fake love yaani wanajiona walichelew a sana kuja kwenye ulimwengu wa walevi sisi [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] waiter unapenda kulamba koni? If yes chukua kinywaji ukipendacho if no! Endelea kutuhudumia [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…