Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

Usichopenda wewe Kuna mwenzio anakipenda, tukubali tu kuwa choice zetu haziwezi kufanana mkuu. Kama ya mume wangu ile kofia ya kichwa chake kilivyokaa na kubinjuka vile huna cha kunambia niache kuimba nayo aisee
hakika we unafaaa
 
Kiukweli wanaume imefika mahala tumewachoka, mahitaji yenu na malalamiko yamekuwa mengi sana aiseeeh'..!
Bora sisi imeshajulikana pesa, pesa, pesa na machine, ninyi hivi mnataka nini sasa wajameni.??
kateleza tu mtt wa mama
 
jamn mbona kama fundi wa kuimba hata nyoka pangoni sintomtupia tunamalizana kwa na Mc
 
mwizi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Akili za kisukuma hizii
 
Usichopenda wewe Kuna mwenzio anakipenda, tukubali tu kuwa choice zetu haziwezi kufanana mkuu. Kama ya mume wangu ile kofia ya kichwa chake kilivyokaa na kubinjuka vile huna cha kunambia niache kuimba nayo aisee
Safi sana,ila mshauri akaondoe hiyo Sox,ili ufaidi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…