Wadada mzigo huu unawahusu!

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
kuna jamaa yangu ameniomba nimsaidie kupost hizi vitu anauza kwa bei nafuu sana ili amalize akalete mzigo mwingine maana analetaga nj'e kutoka dubai na china...kwa atakayehitaji amtafute kwa 0712554255, mzigo ni original na kama ukihitaji kwa jumla pia zinaletwa kwa oda kwasasa zimeshauzwa zimebaki chache.

hizi ni 4500/= tu...










na hizi pia ni 4500/= tu.







hizi za hapo chini ni 2500/= tu.


 
Hizo picha n wateja wenu au pcha za kudownload??? Kuna biashara nataka tufanye nijbu kwanza ilo[emoji115]
 
Hizo picha n wateja wenu au pcha za kudownload??? Kuna biashara nataka tufanye nijbu kwanza ilo[emoji115]

Mkuu imenibidi nikujibu tu kuwa JARIBU KUSOMA POST YANGU VIZURI maana umeuliza kitu cha tofauti na lengo la post, HAPA HAKUNA MSUSI NA WALA SIO SALON KUSEMA KUWA HAO NI WATEJA ISIPOKUWA KINACHOUZWA NI HIZO NYWELE KAMA ZILIVYO HAPO PICHANI NA ZINAPATIKANA KATIKA RANGI MBALIMBALI KAMA ZILIVYO HAPO, KWA HIVYO MTU ANANUA NA KWENDA KUTENGENEZWA KWENGINE(SALON/MSUSI) NA NIMEWEKA WAZI MAWASILIANO YA MUHUSIKA HAPO...SASA SIJUI BIASHARA GANI UNATAKA UFANYE NAMIMI TENA...UNLESS UNIELEZE IYO BIASHARA THEN MIE NIKUSAIDIE KUMWAMBIA JAMAA KAMA INALIPA ITAFANYIKA TU BILA WASI KAMA ITAKUWA TOFAUTI BASI.
 
Hizo picha n wateja wenu au pcha za kudownload??? Kuna biashara nataka tufanye nijbu kwanza ilo[emoji115]

LABDA KENGINE NIONGEZEE TU KUWA...RANGI NA MUONEKANO WA NYWELE ZIPO HIVYOHIVYO KAMA ZILIVYO HAPO KICHWANI NO MATTER IZO PICHA NI ZA KUDOWNLOAD AMA SIO...NA HIYO MITINDO NDO MITINDO YAKE WANAYOTENGENEZA KICHWANI NA HIZO BUNDA ZA NYWELE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…