CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Huu utandawazi nao umekuja kufanya watu wanakuwa malimbukeni..
Unakutana na Mwanamke siku ya kwanza (kwa kawaida huwa wanapretend sana na kujifanya watakatifu) Anaongea viswahili viwili na viingereza vitano Mara oo " I think sitaki Kula Food ambayo sio my favourite" i always Take things positive yaani, Mimi sio that type of a girl"
Basi tu uzungu mwingi na "Aaaaaam nyingi" kabla ya kuongea..
Unashindwaje kuwa straight na kuongea kiutu uzima kama ni kiswahili ongea kiswahili... Kama unajiweza na kiingereza Basi iwe kiingereza..
Acheni maisha ya kwenye TV...Tunawapeleka sehemu nzuri mnajifanya kudokoa tu vyakula mnaacha kama vilivyo Na tumelipia zaidi ya 20k Kumbe mnaishi Kwa vitumbua na unga robo! Ishini kwa uhalisia Bwana..
Sent using Jamii Forums mobile app