Wadada na Kuchanganya Lugha wakati wa dating


Hapa topic ni kuchanganya lugha au kugusa gusa msosi?
 
Wanaogopa kuonekana wanapakia sana diko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unamuagizia mtu sekela anadokoa dokoa paja na kuacha sehemu kubwa ya kuku haijaliwa kujifuta kona za mdomo na ka tissue kila saa kmmmke! Joti aliwahi kumchana demu kwamba ana uchafuzi wa hela kishenzi kwa sababu ya mambo ya kijinga kama hayo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa kimsingi chakula kimewekwa ili kiliwe we unaleta mapozi ya kishamba ili iweje. Mi nakutolea uvivu chap, ukijiadai kushiba navuta plate nagonga menu.
 
Mwanamke ni pambo, na hivyo vyote ni sehemu ya upambo wake. Unataka mwanamke awe kama mwanaume!!! Huwa napenda mwanamke anayenidekea, ananipa ujasiri sana wa kuona ninaaminika!
Kudeka sio kuchezea chakula, adeke mkiwa chumbani au ndani kwenu sio kuleta upuuzi mezani 😁
 
Point yako ya mwisho ndio nimeielewa zaidi, mpekele mtu sehemu inayoendana na kipato chako
Hivo viingeleza kwangu huwa havinibabaishi kabisa
mtu akijichanganya nampe ngeli full hd kama imetoka kwa malkia
Wengi flow hawawezi, mwishowe wanaishia kupiga swahili tu
 
Unavuta plateπŸ˜‚πŸ˜‚ we noma. Ila sio fresh bana mtu katoa hela yake af unachezea chakula, kwanza me naona ni kama ushamba flani hv mtu akifanya hvyo.
Mtu mwingine next time hakutoi tena, ndo unakosa ofa za msosi kimasihara hiv hivπŸ˜‚
 
Hahahah sindio mambo za ki slay queen hizo!
Unavuta plateπŸ˜‚πŸ˜‚ we noma. Ila sio fresh bana mtu katoa hela yake af unachezea chakula, kwanza me naona ni kama ushamba flani hv mtu akifanya hvyo.
Mtu mwingine next time hakutoi tena, ndo unakosa ofa za msosi kimasihara hiv hivπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…