Jamani hivi what so special kwa mafuta ya ojojo? Maana mjini hakukaliki ni ojojo, nyumbani hakukaliki ni ojojo. Hivi ni kweli haya mafuta yanasaidia kukuza nywele? Kuna mwenye ushahidi aliyeyatumia nywele zikajaa na kurefuka? Maana mke wangu kila siku analilia haya mafuta nimemwambia akiyatumia nywele zisopokua namnyoa kipara. Ukizingatia yanauzwa bei.
60,000 mafuta yenyewe, na vitu vyake vingine kama 120,000Yanauzwa bei gani kwani?
Toba yarabi!60,000 mafuta yenyewe, na vitu vyake vingine kama 120,000
Kama mdumaifu wa nywele akaza e kula feuits na maji mengi. Ojojoo ni kuongezea mvuto no nothing else. Mi napaka ya 5000 lkn nyweleusipimee ni asili yangu kwa hiloJamani hivi what so special kwa mafuta ya ojojo? Maana mjini hakukaliki ni ojojo, nyumbani hakukaliki ni ojojo.
Hivi ni kweli haya mafuta yanasaidia kukuza nywele? Kuna mwenye ushahidi aliyeyatumia nywele zikajaa na kurefuka?
Maana mke wangu kila siku analilia haya mafuta nimemwambia akiyatumia nywele zisipokua namnyoa kipara. Ukizingatia yanauzwa bei.