Wadada na Wakaka/Wadada wa Humu Mbona mnaongelea Relationships ila hamuoani

Wadada na Wakaka/Wadada wa Humu Mbona mnaongelea Relationships ila hamuoani

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Ama kweli nimeamini kumbe Nabii hatambuliki kijijini/nyumbani kwao

Yaani wadada na wakaka wa humu mnaongeleaga na kushauri kuhusu relationships Ila cha ajabu mbona nyie ham fall in love au kuoana humu.

Au ndo ile kusema smart people don't fall in love easily.
Mi nategemea kuona for instance flani amekuwa deeply in love na flani kupitia JF hapo ndo tujue kweli JF inafanya kazi vilivyo.

Sasa nyie ni kusema tu we are single na mnabaki kuwa single alafu mngetuonesha na practical functioning ya JF sasa mnatongozana tu halafu yanabaki humu humu hamu oani.

Wengi wenu najua mko single na hata plan ya kuoa/kuoana hamna kabisa.

Si mtongozane basi tuone kama Jamii F ni mfano wa kuigwa
 
Wapo mbona walio deep in love na wanajulikana humu..subiri kadi tu.

Alafu Acha umbea wa kutaka kujua ya wengine mdogo wangu.😜
Dah....nawe uko singo tuyajenge ili tumpe somo Dogo mleta uzi ? 🤭
 
Mimi nimewahiwa..umechelewa kidogo sana
Dah...siyo tatizo hilo..ni kwa muda tu...ninachotaka tumfurahishe Dogo mleta uzi...ili awe na amani...inaonekana ana huzuni sana 🤣 🤭
 
Back
Top Bottom