ahh mie nina karne no zawad ila mahaba.kudekezwa mia mia:A S-frusty2:
he he hee wewe utakuwa una date watoto wa masaki aisee
uswazi hakuna hiyo
ugali na nauli ya daladala kwisha kazi....
we unabembeleza wiki nzima..aisee pole sana
jaribu wadada wa uswazi uone mambo....
Mimi tena siku ya tukio ndio kabisa sipendi kutoa zawadi..Napenda iwe suprise..sasa kama mtu anakaa anajiandaa kabisa anajua nitakuja na zawadi haina maana..
Hivi kudekezwa ndo nini?Hebu nieleweshe,Maana nikijaoa akataka kudekezwa nijue!
Hahahahahah...umenikumbusha magunia ya mkaa, matenga yetu ya nyanya au matunda pori!!!
Kazi kweli kweli,
Babu DC!!
Hahahahahah...umenikumbusha magunia ya mkaa, matenga yetu ya nyanya au matunda pori!!!
Kazi kweli kweli,
Babu DC!!
yaani hawa vijana wanahitaji 'mafunzo' namna ya ku 'entertain' wanawake aisee
wanazungumzia chocolate wakati wanawake wao pengine ugali kuku ndo 'wanaridhika'
too much 'maigizo'
inabidi nije na thread siku moja..lol
magunia ya mkaa tena yamepanda bei aisee lol
he he hee wewe utakuwa una date watoto wa masaki aisee
uswazi hakuna hiyo
ugali na nauli ya daladala kwisha kazi....
we unabembeleza wiki nzima..aisee pole sana jaribu wadada wa uswazi uone mambo....
Huna kawaida ya kutoa zawadi japo ya mashairi, sepa fasta
Mimi nimnunulie mwanamke zawadi, nitoe pesa zangu bank sababu ya mwanamke ambaye sio mke wangu bado...mbona kuna kazi
Gai,
Mbona wengine hatutoi lakini tunalea hadi wajukuu?
Babu DC!!
Asante 'critic', watu kama nyinyi mnafanya tuuone upande mwingine wa shilingi