OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
hata kama wanafunzi
chokleti na kumwambia kuna mchele na maini apike mle
unafikiri atapenda kipi?
tena wanafunzi ndo 'unawapeleka kiutu uzima' hadi wanapenda...
mwanafunzi unamwambia aje apike mle
mwisho unamuwekea dvd ya kanumba..kwisha habari yake lol
he he hee wewe utakuwa una date watoto wa masaki aisee
uswazi hakuna hiyo
ugali na nauli ya daladala kwisha kazi....
we unabembeleza wiki nzima..aisee pole sana
jaribu wadada wa uswazi uone mambo....
Kipipi..you need to get surprised to experience the surprise itself....in short it is the surprise that is the secret behind surprises.
Hivi what is the secret behind suprises!
hata kama wanafunzi
chokleti na kumwambia kuna mchele na maini apike mle
unafikiri atapenda kipi?
tena wanafunzi ndo 'unawapeleka kiutu uzima' hadi wanapenda...
mwanafunzi unamwambia aje apike mle
mwisho unamuwekea dvd ya kanumba..kwisha habari yake lol
What about the general view?
Just when you dont expect it... And there it goes!!!
Umenifundisha kitu. Kuanzia leo zawadi yangu itakua mkono wa pongezi...:wink2:makubwa,utanunaje wiki nzima wakati zawadi ni hiyari ya mtoaji?hata mkono wa pongezi ni zawadi.
Thats the general view, I suppose? LOL how general do you want it to be?
Hata kama ni kitu usichokipendelea/kinachokuletea bad memories.....its okey mradi ni suprise??
Baada ya kusoma hii comment....nimejikuta nacheka kweli!!
Hahaha Boss na DC naona mnataka kuleta hadithi za gunia la mkaa na live chicken sasa
Mfano;mwanamke: bebiii mi siamki leo,Hivi kudekezwa ndo nini?Hebu nieleweshe,Maana nikijaoa akataka kudekezwa nijue!