Sasa shangazi Lizzy mimi ni mmoja kama nikiwa ni romantic au unromantic bado sitapata jibu,halafu mimi siwezi kujisemea anaejua ukweli ni mwanamke ningekuwa na mke ningemuuliza,lakini naamini wadada ndo mna majibu mazuri zaidi!We si mwanaume wa kibongo!!!?Jichunguze utapata jibu....wanawake wanawasemea tu il nyie ndo mnaojua ukweli!!
Sijakusoma!