Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Haha yan mi kwa kweli sijui kwanini aliamua kunifanyia hivi huyu mzee[emoji23]Na wewe umefanana na Babu yako kama mie?
Tigopetha itasoma 0 ngapi??[emoji39] [emoji39]Mumu mtoto mzuri tuma
[emoji23]Haha yan mi kwa kweli sijui kwanini aliamua kunifanyia hivi huyu mzee[emoji23]
Umepitwa kulikuwa na mtanange mkali sana humu leo mzee wa chura, chura kafia dumbwiniUwongo,tuko busy na 26/04/2018![emoji53][emoji53][emoji53]
Mungu wetu sote!Mungu wane!
Hivi nani aliibuka kidedea tumzawadie kikombe chake.?Umepitwa kulikuwa na mtanange mkali sana humu leo mzee wa chura, chura kafia dumbwini
Nakuelewa Mzee babaa,..nipange bathiii[emoji39] [emoji39]Si unanijua mzee Wa kuwahonga warembo![emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usije kuwa na ka u.b.o kadogo kibao kikageuka ngoja nikimbize taakoo langu mie[emoji125] [emoji125]
Asiyekuwepo na lake halipoTumeni hizo picha mshaanza kuhamisha uzi.[emoji58]
Mshindi hakupatikana tunasubiri warudie tuHivi nani aliibuka kidedea tumzawadie kikombe chake.?
Mmuache dada wa watuMmh! Weweeee! Miss nat habari ingineee!
[emoji23] [emoji23]
HahahahSi ulinitisha! Na leo ukanichamba katika uzi wa Money Penny nimeamua kujificha
Hapana hii si bangi ni ugonjwa huuUmevuta bangi ya wapi leooo