Basi tufanye 50/50Mmhhhh weeee mwanamke na mwanamme nani anaitwa First.....nanii??
Mmhhhhh hapana ,utawala wangu unakuaga wa kifalme.Basi tufanye 50/50
Watamu mno tena nimeropoka ngoja niwakoseWenzako wanataka warefu we unataka andunje[emoji23] [emoji23]
Umepitwa na umbembe leo shougaaaaaaaNgoja wakuje wadada wa jf wakutumie
Haya wehMmhhhhh hapana ,utawala wangu unakuaga wa kifalme.
Ndio naingia hapa nilibanwa sana leoUmepitwa na umbembe leo shougaaaaaaa
Ahsante kwa maneno matamu,nmeyachukua kama yalivyo. Avatar yako ime reflect ninacho kifeel kwako.[emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha mafupi haya jiachie usijibane bane maana binadamu hawana jema
KabisaaaaaHaya weh
Hakuna kitu umedanganywa wanaosema ni wanaume kwa taarifa yako ipo siku utajua ukweliHuwezi amini sasa wengine wanaosemaga watu wameliwa ni wanawake wala sio wanaume. Yani naweza nikaanza tu Carba kaliwa na Dj Sepetu. Mara watu wanaamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mrembo tulik miss,karibu yote yaliyokpta Kapeace atakujulishaNdio naingia hapa nilibanwa sana leo
Mh kulikuwa na nnPole mrembo tulik miss,karibu yote yaliyokpta Kapeace atakujulisha
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Umevuta bangi ya wapi leooo
Pole sana shostito na uzi ushafutwa mtafute ukhuty akupe dodoso loooteNdio naingia hapa nilibanwa sana leo
Asante jamaniiAhsante kwa maneno matamu,nmeyachukua kama yalivyo. Avatar yako ime reflect ninacho kifeel kwako.
Mweeeh jamani asante shooPole sana shostito na uzi ushafutwa mtafute ukhuty akupe dodoso looote
Mambo yalikuwa moutoooooMweeeh jamani asante shoo