Ninayo blaki wumani mimi tena nilivyo shankupeHahahaha hata mie nilifanya faster
Siwezi katuPicha yako usitume hapa. Hawakawii kusema ulijiteka.
Maujinga yangu utayaweza wewe hiyo ya chupi kichwani G wangu aliivaa shingonii kuna kitu nilimchanganyaa akasema anatembea nayo hivyoNisimulie bhasi!! Shogake mama tukinao[emoji23]
Umeniudhi au unakuwa kama Demiss anayeuliza na kujijibu (maswahibu ya multiple ID)Yes baby
Karibia 80% ni dizaini hiyoWapo humu wenye utoto huo?
Yaa ninayoo kweli haswaaNakugawaaaaa
Unavutwa huku na kuleWalah!! Mtaniua nyie warembo!!
Tatizo mautamu yenu yamezidi[emoji23] [emoji23]
Umechagua fungu jema.Siwezi katu
Bas wakikua wataacha rafikiKaribia 80% ni dizaini hiyo
Ulipotelea wapi?Umeniudhi au unakuwa kama Demiss anayeuliza na kujijibu (maswahibu ya multiple ID)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tukinaoMaujinga yangu utayaweza wewe hiyo ya chupi kichwani G wangu aliivaa shingonii kuna kitu nilimchanganyaa akasema anatembea nayo hivyo
Nna shoga mmoja tu humu na muda huu tupo nae tunapiga kilaji hapa Smart park
Hahahahaha sawa mie baada ya kuona Picha nikaangalia kwa jicho LA 3 sikuamini kilichokuwa kinaendeleaNinayo blaki wumani mimi tena nilivyo shankupe
Ahahahahha wavaa mawigi wamekusikiTena sana kosa nywele usikose wigi! Hata la buku[emoji23] [emoji23]
Hahahahaha watu tunachambanaga na mama zetu humu kazi kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] tukinao
Humu kuna mabwaku bi tukinao anamuita mwenzie bibi tukinao ilhalo na yeye ndo walewale wala hata hawachekani anasitiriwa na makeupaHahahahaha sawa mie baada y'all kuona Pacha nikaangalia kwa jicho LA 3 sikuamini kilichokuwa kinaendelea