Wadada nchukieni ila ukweli ni .....

iki kikwere banaaa!!! kwanza nahisi hakisimamishi ndo mana wadada wanakiona sahihi kujadili wanavyopigwa na midume ya kichaga. Hahahahahaaaaa, we kijamaa wacha umbea, uza dawa. Utafukuzwa kazi na Kimaro, ngoja aje afanye stock akute umekopesha uone moto wako. Nyoooo!!!!:tongue:
 
Ushawahi kuwa na basha la kichaga?
sasa wanakwambia wapelekewa khabari na vijana wa kichaga wewe huwaulizi kama ni tamu sana ili na wewe utafute kijana safi wa kichaga awe ana kuchechetua?

Calm down Bigiie.....Hao nimeshawagundua...wanaume wanawachukia kwasababu wadada wanawakubali pamoja mauzushi yanayovumishwa wao wanawakosa...alafu Chagga galz nao wanawatolea nje basi inabidi watunge vijisababu angalau watuchafue kidogo!
 
No kwa hapa nitasema............. generalization halafu unatuita wajinga? tunajipendekeza kwa wachaga?? eti.ugumu wa kuwapata?

Wewe utakuwa domo zege kama hujui kuwaimbisha usiwasemee mbovu.
Mwone vile!
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
Calm down Bigiie.....Hao nimeshawagundua...wanaume wanawachukia kwasababu wadada wanawakubali pamoja mauzushi yanayovumishwa wao wanawakosa...alafu Chagga galz nao wanawatolea nje basi inabidi watunge vijisababu angalau watuchafue kidogo!
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
mmechoka na wanawake sasa mmegeukia kaka zetu eh!? mtasema sana safari hii

"am proud to be MCHAGGA"
 
Du. Mwenzetu wewe, badala ya kuwapa hao wadada mshobobo, unabaki kupiga umbea, unahatari

Hahaaaaaa mshobobo ndio nini bujibuji lakini? Hahaa huyo jamaa mbeaa ka muimba nanihii.
 
mmh nan kakudanganya?
kwa kukopa ao hawafai..
akimpa demu ela ya salun january basi ataizungumzia mpk desemba...mama manka ile pesa imeisa?ahh mbona nilikupa jana tu...?

Hahaaa.
 
teh teh jaman stak mieeeeeeeeeeeeeeeee...ennhh
hawwajui majamboo..ahaaa jaman awa watu....wwanajua nini sasa?
kwenye kuhonga nakataaa WABAHILI SANA TU,...

Wanajua kuvaa suruali za vitambaa na viatu vya wamachinga ha haaa.
 
Labda wale malimbukeni wanaotoka Moshi leo,mchaga aliyekaa mjini ni mbahili sana,wana calculation sana.......:A S 27:

Mama zao je wanavozitolea macho pesa za watoto wao ha haaa wanachekesha.
 
Idadi kadhaa ndio ngapi hiyo? mimi sijawahi kuwa na mchaga na wala sina mpango. hivi si huwa nasikia hawajui kuhandle with care maana wako busy na kutafuta pesa au...
 
the mkerewe,

Soma basi angalau upate MD - clinical officer hana tofauti na nursing officer!

Badala ya kuongeza ujuzi wa taaluma yako, wewe unakaa kuongea umbea na wake za watu!

Unless wewe una homoni za kike this is VERY LOW!
 
No kwa hapa nitasema............. generalization halafu unatuita wajinga? tunajipendekeza kwa wachaga?? eti.ugumu wa kuwapata?

Wewe utakuwa domo zege kama hujui kuwaimbisha usiwasemee mbovu.
Mwone vile!
sorry kwa kugeneralize ila most dadas wanakamchezo ka chatu na mbwa yaani ni vigumu kuwasemea no hawa jamaa wa chagga.HAMNA MTABIBU HATA MMOJA DUNIANI ALIYE DOMO ZEGE yaani ndio maana wengi hawana mademu wa kudumu manake naweza kuwa na watatu in a wiki, tena haturudiagi demu manake labda kama ana cha ziada.most WANAWAKE NI VIGUMU SANA KUWAKATALIA WATABIBU HATA KAMA NI MKE WA MDOSI.
pls nipe hojsa na sio kejeli kuhusu wadada vs chagga
 

Mwanaume mbea utamjua tu.
 
Mwanamke akiwa na mchagga ana guarantee hatakufa njaa.
kwa hiyo wadada wanajirahisi kwa MANGI cz ya mshiko? HAPANA CZ HAINGII AKILINI MDADA BOMBA KABISA MWENYE vimkwanjwa na kistarlet au vits kuliwa uroda na MANGI ANAYEUZA DUKA LA BOSI WAKE.yaani kuna kitu sikielewi kuhusu....
 
mmechoka na wanawake sasa mmegeukia kaka zetu eh!? mtasema sana safari hii

"am proud to be MCHAGGA"

Haika ndao! hiyo chasaka imejaa umbea kweli, unakaaje nawa mama unauliza habari zao za chini ya bati! mbutaa! ngastuka sana.
 
mkuu, unahitajika kurenew jinsia yako (kama ni mwanaume), naona inaanza kuexpire kidogo kidogo. utakaaaje na wadada uanze kuongelea idadi na kabila la wanaume anaotoka nao? uscheze nao sana hao watakupeleka kichen pati halaf tukupoteze.

My fellow tablet...

Huyu kama ni mwanaume basi ujue si rizki!
Mwanaume rijali anawezaje kukaa na mwanamke waanze kumzungumzia klorokwini anavyojua kuutumia mshobobo wake?
Nadhani anataka ajue ili naye atafute nafasi ya kuutumikia mshobobo anaopata sifa zake!

Mwanamme mbea lazima kuna utekentaji unafanyika kwenye njia ya haja kubwa........Need I say more?
 

Unatunza siri zao kwa kuwaanika JF!! Kama una akili na ni professional kaa kimya. unavyozidi kujibu hoja una ji expose.
Wewe kama mtumishi wa afya hutakiwi kuweka mambo ya kazini kwako hadharani. Hata kama yanatokana na maongezi lakini elewa kuwa professionals wana integrity wanayotakiwa kuwa nayo. Sitashangaa nikikukuta unatukana tusi la mama! Please maintain your professional ethics. Usiidhalilishe taaluma tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…