Wadada,nipeni style nzuri ya kunyoa nywele zangu.

Wadada,nipeni style nzuri ya kunyoa nywele zangu.

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Nahitaji mnipe style nzur ya kunyoa nywele zangu ambayo haitohitaji niende saloon mara kwa mara walaa isio na gharama.asanteni
 
Weka picha ya kichwa chako ndo tukushauri
 
Kwa kuwa una kichwa cha duara kama wanasiasa, basi nyoa uaraza kama la mbunge mpenda totoz.
 
Back
Top Bottom