Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

Nyie wanawake ni wabinafsi sana. Naishi na mwanamke mshahara wake ni zaidi ya laki sita lakini kujinunulia hata vile vitu vidogo vidogo hawezi mpaka mimi nimnunulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jukumu lako kumnunulia, lakini kiubinadamu vitu vidogovidogo inabidi amalize mwenyewe ili kuleta maana halisi ya yeye kuwa na kazi.
 
Natamani kujua kikao kilifanyikia wapi na lini
 
Ni jukumu lako kumnunulia, lakini kiubinadamu vitu vidogovidogo inabidi amalize mwenyewe ili kuleta maana halisi ya yeye kuwa na kazi.
"Ukifuatilia unakuta mojawapo ya chanzo ni hofu kwa mwanamke kuwa hataki kuweka pesa zake rehani sababu zinamuuma ila anataka za mumewe ziwe rehani". Huu ndio ubinafsi wenyewe.
 
Kutokana na comment za members imenibidi nisome yote, kwakweli kwenye huo mjadala mmezungumza vizuri sana kwasababu pande zote mbili zipo.

Mimi nishawahi pata changamoto ya mahusiano ya design ya hao wanawake yani ukimwabia hapo sina uwezo nako anakuona mbabaishaji, alafu ukiangalia mtu mwenyewe mchango katika maisha yako hana lakini anakukomalia utafikiri hata pumzi unayotumia unaitoa kwake.

Ila akiona mambo mazuri anakua mshauri mkuu wa kila kitu mara anakuambia usimsahau mama, anakupgia simu mpaka usiku wa manane.

Kwakweli mambo yamebadilika nowadays, ndio mwanaume ni kila kitu ila kama mwanamke jitahidi msaidie mwanaume katika kila jambo, tengenza bond ambayo iwe wakati wa raha au wa shida bado mtakua mnafuraha mioyoni.
 
Wapo sahihi binafc ndo navoamin KWA baadh ya hoja zao
 
 
Mada nzuri, komenti za wadada n chache Sana imewagusa
 
AKILI ZA WANAWAKE WENGI😂😂
-Mdada akiwa kwenye vikao vyao ferminism akijiproud

Mdada:wanaume wote mbwa tu😂,mimi ni strong woman nina masters yangu huwezi nibabaisha mwanaume yeyote.mimi siwezi kaa kumtumikia mtoto wa mtu halafu nina mshahara wangu akisema ng'we nitamwambia babu wee!! 😂Usinapangie maisha mwili wangu nachagua mwanaume yeyote ninayetaka kumpa wew lizika na share yako😂(hapo akiendelea kukataa na kuvunja mahusiano makusudi kisa yeye anamasters😂 halafu wanaume wengi wanamsumbua)

BAADA YA KUFIKISHA MIAKA 32 AKIWA PEKEAKE ANAWAZA KWENYE NYUMBA YAKE NA VYETI VYAKE VYA MASTERS😂😂

mawazo yake:mhh mbona hawa wanaume siku hizi hawanisumbui au nimechuja😂halafu mpaka sasa sijaolewa vp hili gundu nini au subili nikaombewe litakua gundu hili haiwezekani mpaka nafikisha umri bado tu

AMEFIKISHA MIAKA 35 BADO TU NDIO KWANZA MEN WAMEACHA HATA KUMTEXT MAANA WAMEHAMISHIA NGUVU CHUCHU KONZI😂 man bad sana!!😂😂

action yake:anachukua simu anaanzisha uzi JF kichwa kikisema WANAUME WA SIKU HIZI NI VIBAMIA HAWANA NGUVU ZA KIUME😂 utafikili alikuwepo zamani 😂😂

Wanawake wengi hawataki kujifunza pale wakoseapo ila wanatafuta wa kumtupia lawama za matatizo yake mwenyewe
 
Nyie wanawake ni wabinafsi sana. Naishi na mwanamke mshahara wake ni zaidi ya laki sita lakini kujinunulia hata vile vitu vidogo vidogo hawezi mpaka mimi nimnunulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anajenga kwao, kanunua kiwanja kisiri siri, au anahonga masharobaro, chunguza
 
Ni ukweli mtupu,
Wanawake wengi sijui kutokana na hali ya uchumi na ugumu wa maisha au tu ndio kizazi cha sasa na tamaduni mpya... wamegeuza mahusiano kama chanzo cha kujipatia kipato na kutatua matatizo yao??.
Yani asilimia kubwa ni wadangaji tu!
 
Hakuna la kuongoza, kama wanawake wangeelewa nusu ya haya, wasingetaabika na wangeishi kama malkia
 
Mjadala ungefungiwa hapa tu,yaan vbint vinashawishiwa ujnga sanaa na wenzao
 
Kuna kauli moja wanaambiwaga "ana nini? au atakupa nini?". Hii inawaadhiri sana maana watengeneza mindset za kupewa badala ya kuchangia ndio wanaishia kuwa chombo Cha starehe badala ya kustarehe
 
Mimi binafsi pesa ya mwanamke nitaila na nitaijumlisha kwenye hesabu labda Kama ni mbinafsi na akiwabinafsi atuwezi kudumu.

Watu wanauliza mwanamke anatoa mchango Gani kwenye mahusiano mbali na ngono,,wengi hujibu hamna mchango afu pesa yao pia tuiogope na kazini waende pesa yao tusiiulize.

Kunautofauti wa kizazi na Dunia haiwezi kuwa sawa miaka yote,changamoto zitakazo tokea kutokana na mabadiliko tutatafuta namna ya kutatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…