Unakuta dada msafi na ananukia. Akitoa simu unaweza chefukwa. Case ya kulinda simu chafuu, uchafu wa mafuta na jasho umeweka weusi. Hii kitu inawapotezea sana mvuto ila nimeona fursa.
Nitaanzisha biashara ya kusafisha macase ya simu. Tsh 400 kwa case.
Inategemea mkuu unamiliki nn mfano nilikuwa na Samsung note 4 ilikuwa wazi na nilikuwa free mno. Ikafa. Sasa hii tecno boom nimeieka kwa case huwezi jua Nina nini. (Kwa kweli tecno ni mapito tu)