Wadada simeni ukweli kuhusu hili

hivi chacha mwisho saa sita bado zipo kaka acha uongo bwana hizo zilikuwa enzi zetu si leo hii
mkuu, huku kijijini samtaimu tunavaa chachacha tu na tukipita mtaani jamaa wanasimama kututolea heshima.
 
Huo utaalamu wako nimeukubali kwa macho tu unajua alivyo? Ila cha msingi ni ni kuwa yote yananunulika kasoro Vitu kama tabia na vingine
 
Mavazi yanaongea kitu (Ila isijekuwa umeazima) na wakati mwingine hata ukiazima unaweza gundulika kwa sababu nguo ya kuazima haisitiri....

Saa na simu vinaongea.......
Sura nayo muhimu kwa kweli,

Umbo mrefu au mfupi, mnene au mwembamba.
Rangi, Mweusi au mweupe.

Baada ya hivo sasa naangalia anavyoongea na mengine yanafuata sasa tabia nk nk.
 
Kina mama hebu tusaidieni katika hili,si nasikia eti mkiona mwanaume mara ya kwanza instinctively kabla hata ya kuangalia viatu,saa,mkanda etc huwa mnaangalia vitu flan flan ili kujua kama njemba 'kiatu' chake ni size ya kutosha,au?
 
I am allergic to watch, shoes, smelling perfumes, wearing belt
 

Are you still RETHINKING???
 



wanaume tuna kazi kweli LD,
kumbe tunatakiwa tuwe na style za kuongea eeeeh,????
 
cha kwanza kabisa, sura yake, pili jinsi alivyopangilia mavazi yake, tatu jinsi anavyoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…