Wadada: Solar handbag

Wadada: Solar handbag

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari Tanzania !

Kwa wale wapenda biashara na fursa mijini. Kuna biashara nzuri sana waweza ifanya wateja wako wakiwa wanawake marika yote.

Technology haijamuacha mwanamke au wadada duniani. Chukua fursa hii ya kutengeneza mikoba inayozalisha nishati ambayo inasaidia kusambaza umeme nyumbani.

Karibu.
 
Hebu uvue nguo uzi wako, bado umejifunika manguo meengi, mfano hiyo mikoba izalishe vipi nguvu ya umeme nk...
Yote yanawezekana.
e3c72652939a9dcd17f89c06f7c7b4e3.jpeg
 
Mikoba izalishe umeme wa kutumiwa majumbani?
Una hakika na ulichoandika au umeteleza kidogo.
 
Back
Top Bottom