Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Yote yanawezekana.Hebu uvue nguo uzi wako, bado umejifunika manguo meengi, mfano hiyo mikoba izalishe vipi nguvu ya umeme nk...
Inasaidia kusambaza umeme kwa nyumba. Inaweza endesha baadhi ya vitu.Mikoba izalishe umeme wa kutumiwa majumbani?
Una hakika na ulichoandika au umeteleza kidogo.
Yote yanawezekana.View attachment 1477164
Hivi mnakielewa mnachokisema, au mnaandika tu ilimradi umesoma pahala..!!??Inasaidia kusambaza umeme kwa nyumba. Inaweza endesha baadhi ya vitu.
duhInasaidia kusambaza umeme kwa nyumba. Inaweza endesha baadhi ya vitu.