wadada tu ndo wasome hapa

wadada tu ndo wasome hapa

bid2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
306
Reaction score
59
Mimi nina miaka 26 nina degree yangu na nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa huku kanda ya ziwa. Natafuta msichana mrembo wa haja mwembamba. My take hata mm ni mzuri so jitahidi uwe mzuri. Elimu kuanzia diploma na kuendelea. Nawasilisha.
 
Du imbombo ngafu mwanamme ajisifii uhandsome wewe! Tangu lini mwanamme akasema yeye mzuri? Duuu aiseee we mshumaa?
 
Mm ndo najisifia coz kuba kadada kalinipenda lkn kakawa mpaka kanaogopa kutembea na mm
 
Mimi nina miaka 26 nina degree yangu na nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa huku kanda ya ziwa. Natafuta msichana mrembo wa haja mwembamba. My take hata mm ni mzuri so jitahidi uwe mzuri. Elimu kuanzia diploma na kuendelea. Nawasilisha.

Duh! vijana siku hizi mna kazi! Hivi mtu anajitahidi vipi kuwa mzuri?
 
Asee mie ninasifa zote uzitakazo ila Wiyelele alisema wanawake wasomi ni mzigo na hawafai kuoa....
Mimi nina miaka 26 nina degree yangu na nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa huku kanda ya ziwa. Natafuta msichana mrembo wa haja mwembamba. My take hata mm ni mzuri so jitahidi uwe mzuri. Elimu kuanzia diploma na kuendelea. Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:

yule changu tena humtaki? ah sorry kumbe mi sio mdada !HAYA GOJA NIWAACHIE WAURI KINA mwaJ
 
Last edited by a moderator:
Mm ndo najisifia coz kuba kadada kalinipenda lkn kakawa mpaka kanaogopa kutembea na mm
Ni kutembea na wewe ua kuzini?
Alikuwa na hofu ya Mungu huyo, hiyo yako sina hakika!!
 
picha tafadhali maana macho yanatofautiana!af hmm how can you jitahid kuwa mzuri au aji.fake?
 
Mimi nina miaka 26 nina degree yangu na nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa huku kanda ya ziwa. Natafuta msichana mrembo wa haja mwembamba. My take hata mm ni mzuri so jitahidi uwe mzuri. Elimu kuanzia diploma na kuendelea. Nawasilisha.
Oyaa, we sharabaro nn?
 
Jamani nifundisheni hizo jitihada za kuwa mzuri. Ili na mimi nipendwe.
 
Back
Top Bottom