Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,339
- 1,123
Wadada wa JF habari zenu, naomba kuelimishwa hapa. Unakutana na msichana unajenga nae mahusiano na baadaye unamtongoza kwa ustaarabu na ujuzi wa hali ya juu. Anakupiga chini unabembeleza wee wapi anashikilia msimamo wake wa NO. Kwakuwa ulimind kweli na hali ya hewa ya leo unajisemea kimoyomoyo akunyimae ngono hukupunguzia chance za kupata ngoma. Si unajifariji, kukataliwa mchezo. Sasa unakutana nae na kiheshima unamwambia sasa dada yangu nimekubali moteko tuendelee na urafiki wetu wa kawaida. Unafunga ukurusa na kuangaza tena then unampata dada mwingine mnakubaliana na mnaanza mahusiano. Sasa yule aliyesema NO anaposikia au kukuona na aliyekukubalia panachimbika. Sasa najiuliza unapomkatalia mtu hutaki akubaliwe na mtu yeyote? Au afanyaje sasa? Nipigeni shule