Wadada tu ndoo wachangie hii hoja

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,339
Reaction score
1,123
Wadada wa JF habari zenu, naomba kuelimishwa hapa. Unakutana na msichana unajenga nae mahusiano na baadaye unamtongoza kwa ustaarabu na ujuzi wa hali ya juu. Anakupiga chini unabembeleza wee wapi anashikilia msimamo wake wa NO. Kwakuwa ulimind kweli na hali ya hewa ya leo unajisemea kimoyomoyo akunyimae ngono hukupunguzia chance za kupata ngoma. Si unajifariji, kukataliwa mchezo. Sasa unakutana nae na kiheshima unamwambia sasa dada yangu nimekubali moteko tuendelee na urafiki wetu wa kawaida. Unafunga ukurusa na kuangaza tena then unampata dada mwingine mnakubaliana na mnaanza mahusiano. Sasa yule aliyesema NO anaposikia au kukuona na aliyekukubalia panachimbika. Sasa najiuliza unapomkatalia mtu hutaki akubaliwe na mtu yeyote? Au afanyaje sasa? Nipigeni shule
 
kwani wewe ulimtongozea ngono?be specific,umejichanganya mwenyewe hapo.kakataa mara moja,usharukia mwingine..u aint serious.
 
Huwa baadhi wanapata wivu labda hakukukataa kwa kuwa hajakupenda ila ilikuwepo kisababu kilichomzuia yeye kuwa na wewe
 
kwani wewe ulimtongozea ngono?be specific,umejichanganya mwenyewe hapo.kakataa mara moja,usharukia mwingine..u aint serious.

Akili za akina dada wakati mwingine zinastaajabisha sana. . . . .Samahani nimeingia choo cha kike!
 
Akili za akina dada wakati mwingine zinastaajabisha sana. . . . .Samahani nimeingia choo cha kike!

Bibi yangu aliniambia "kanakake kubrmbelezwa"
Nibembeleze bembeleze basi, miss u a lot!
 
Ulishawahi ona mtu anamnyanysa mkewe na kumpiga na kumfukuza kama mbwa kila siku? Then mkewe akimuacha wala hajali. Ngoja asikie mtalaka anaolewa, anarudi na speed 190!
Kaangalie movie ya 'my best friend's wedding' ya julia roberts na kale kadada blond kamedata kama kanakula bange, utaelewa.
 
usually.....women do not mean what they say....ukilijua hilo huwezi shangaaa...kwa hiyo hata huyo aliyekukubali hajamaanisha ni kwamba hajapata right candidate siku ukimwagwa usishangae.....
 
aah.nadhan huyo alikuwa hajamaanisha hiyo no.haina haja ya kuwa na urafiki wa kawaida mkisha tongozana.to me cpendi mazoea
 
pengine hakuvutiwa na mwanamume huyo ama hakuwa na change ,hapendwi mtu bali fedha
 
Huyo alikuwa anaringa tu, Huwa tunafanya kosa wadada kufikiri kuwa tunapendwa sisi tu, so tunaringaaa huku tunapenda, sasa mtu akibadili uamuzi wivu unakuja.
 
wadada wengi ni sitaki nataka. Kinywani anatamka no na rohoni yes.
 
Huyo alikuwa anaringa tu, Huwa tunafanya kosa wadada kufikiri kuwa tunapendwa sisi tu, so tunaringaaa huku tunapenda, sasa mtu akibadili uamuzi wivu unakuja.

kwahiyo sio kwamba mara zote mwanaume akikataliwa hapendwi?
 
Yaani suala la kumtongoza umelifanya kwa kadili ya uwezo wako. Na kama ni kujikomba kwa kumpa vizawadi umelifanya na umempa muda kama wa miezi mitatu hivi bado jibu ni NO, ndoo unatangaza kuachia ngazi na kuanza mchakato mwingine ukibahatika tu akijua ndoo kimbembe hapo
 
sio sitaki nataka.

Kuna saa unampenda mtu ila anakuwa na vipingamizi ambavyo vinakufanya akili imkatae wakato moyo unamkubali.

Na mtu wa aina hii 'wivu' unakuwepo kama kawa, mwanzoni unaumia ila ukishazoea kuwa kachukuliwa kwingine basi tena unazoea.

Haiwi rahisi kukubali mtu mwingine kumchukua hasa mnapokuwa mmejenga mazoea.

wadada wengi ni sitaki nataka. Kinywani anatamka no na rohoni yes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…