Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.

Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.

Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.

Kwa leo ni hayo tu.​
 
Ebu subiri kwanza,kwamfano wewe ni pisi kali halafu kila mwanaume unayekutana naye anaomba namba je utawapa wote?mwanamke kama binadamu wengine naye ana choices zake.

N:b.Sisupport mwanamke kuwa wakali ama kuleta nyodo pindi waombwapo namba.
 
Kuna namna ya kupangua hoja kwa yule asiyemtaka, kwa kumpa bill kubwa.
 
Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.​
Hii sio Karne ya kumbembeleza mwanamke, ukiona kakuonyesha dharau for the first sight ukajifanya bado unamtaka, utapigwa na kitu kizito.

Temana naye tafuta mwingine. Heshima ni muhimu sana na mwanamke kama kakukubali hakukatai. Ukiona siku ya kwanza ya pili anaongea lugha zisizoeleweka, achana naye, mwanamke anayekujibu kwa ukali, mhesabie kama mpumbavu, na mwanaume mwenye akili hawezi kuwa pamoja na mpumbavu.
 
Kwa afya ya akili na uchumi, inabidi kujikita kwa yule asiyekuwa na mapozi.
 
ukitaka number ya mdada unaemhitaji usiharakishe.nenda nae mdogo mdogo huku ukitengeneza story ya kuanzia kuomba number ☺️😉😉
Wengine hata utengeneze kibanda bado hawatoi, ni sawa kwao wapo sahihi lakini nyodo sio.

Kuna dada nilikutana nae kwenye daladala tukaongea tukachangamkiana zaidi ya dakika 30 utadhani tulikuwa tunafahamiana. Nilipomuomba namba aliniambia kwa leo hapana nitakupa next time, nikarudia tena na tena jibu likawa lile lile, nilipendezwa nae sana na kuanzia ile siku sijawahi muona. Alinikataa kistaarabu mno adi nikapenda.
 
Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?

Angalizo.
Usipende kushika/kuonyesha simu yako Kwa mdada unaejua kuwa utamuomba number 😀mbinu nyingine ya kivita hii nimekukumbusha
 
Mbona kitambo tu tunaaply! Unaficha Infinix yako😁ambayo kava rangi halisi ya kava ni kijana lkn kuna sehemu zinaonekana nyeupe kwa sababu rangi imetoka!

Sema nae inahitaji moyo yaan kuonana mara ya kwanza na contact uchukue 🤒🤒
 
Kujiamini ni muhimu wapo wasiojali muonekano/aina ya simu yako ni vile wengi first time ni wagumu kutoa namba.
 
Back
Top Bottom