Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanaume wengine huwa hawapendi usumbufuHao wenye dharau ndio wazuri, nyodo nyingi alafu mwishoni anajaa kwenye mfumo.
Mwisho wa siku atakuambia ulipe bill 😀, ni sawa na kum bembeleza mamba akumeze.ukitaka number ya mdada unaemhitaji usiharakishe.nenda nae mdogo mdogo huku ukitengeneza story ya kuanzia kuomba number ☺️😉😉
Kuna namna ya kupangua hoja kwa yule asiyemtaka, kwa kumpa bill kubwa.Ebu subiri kwanza,kwamfano wewe ni pisi kali halafu kila mwanaume unayekutana naye anaomba namba je utawapa wote?mwanamke kama binadamu wengine naye ana choices zake.
N:b.Sisupport mwanamke kuwa wakali ama kuleta nyodo pindi waombwapo namba.
Hii sio Karne ya kumbembeleza mwanamke, ukiona kakuonyesha dharau for the first sight ukajifanya bado unamtaka, utapigwa na kitu kizito.Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.
Kwa afya ya akili na uchumi, inabidi kujikita kwa yule asiyekuwa na mapozi.Hii sio Karne ya kumbembeleza mwanamke, ukiona kakuonyesha dharau for the first sight ukajifanya bado unamtaka, utapigwa na kitu kizito.
Temana naye tafuta mwingine. Heshima ni muhimu sana na mwanamke kama kakukubali hakukatai. Ukiona siku ya kwanza ya pili anaongea lugha zisizoeleweka, achana naye, mwanamke anayekujibu kwa ukali, mhesabie kama mpumbavu, na mwanaume mwenye akili hawezi kuwa pamoja na mpumbavu.
Kabisa.Kwa afya ya akili na uchumi, inabidi kujikita kwa yule asiyekuwa na mapozi.
Mwenyewe sipendi ila wa hivyo ndio nawapenda ili wajue naweza badili moja kuwa mbili.Wanaume wengine huwa hawapendi usumbufu
Tatizo wakiwa singo, wanaanza kulalamika kuwa tunawazalisha na kuwakimbiaPole, mtaka cha uvunguni shart ainame
Wengine hata utengeneze kibanda bado hawatoi, ni sawa kwao wapo sahihi lakini nyodo sio.ukitaka number ya mdada unaemhitaji usiharakishe.nenda nae mdogo mdogo huku ukitengeneza story ya kuanzia kuomba number ☺️😉😉
Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?Wengine hata utengeneze kibanda bado hawatoi, ni sawa kwao wapo sahihi lakini nyodo sio.
Kuna dada nilikutana nae kwenye daladala tukaongea tukachangamkiana zaidi ya dakika 30 utadhani tulikuwa tunafahamiana. Nilipomuomba namba aliniambia kwa leo hapana nitakupa next time, nikarudia tena na tena jibu likawa lile lile, nilipendezwa nae sana na kuanzia ile siku sijawahi muona. Alinikataa kistaarabu mno adi nikapenda.
Kwamba ghafla anageuka kuwa Manula sheikh 🤣🤣🤣Mwisho wa siku atakuambia ulipe bill 😀, ni sawa na kum bembeleza mamba akumeze.
Na akiinama vibaya na Kujamba tulio Jirani nae 'tutampiga' kwa Kutuchafulia hali ya hewa na hakuna namna.Pole, mtaka cha uvunguni shart ainame
Mbona kitambo tu tunaaply! Unaficha Infinix yako😁ambayo kava rangi halisi ya kava ni kijana lkn kuna sehemu zinaonekana nyeupe kwa sababu rangi imetoka!Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?
Angalizo.
Usipende kushika/kuonyesha simu yako Kwa mdada unaejua kuwa utamuomba number 😀mbinu nyingine ya kivita hii nimekukumbusha
sikuwaza plan hiyo kabisa.Kwahiyo ukashindwa hata kumwambia kuwa huioni simu yako ili uchukue simu yake ujipigie(kuitafuta)?
Angalizo.
Usipende kushika/kuonyesha simu yako Kwa mdada unaejua kuwa utamuomba number 😀mbinu nyingine ya kivita hii nimekukumbusha
Kujiamini ni muhimu wapo wasiojali muonekano/aina ya simu yako ni vile wengi first time ni wagumu kutoa namba.Mbona kitambo tu tunaaply! Unaficha Infinix yako😁ambayo kava rangi halisi ya kava ni kijana lkn kuna sehemu zinaonekana nyeupe kwa sababu rangi imetoka!
Sema nae inahitaji moyo yaan kuonana mara ya kwanza na contact uchukue 🤒🤒