Ladha ya mikojo? Ushaonja mkojo?Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Mbona nimeandika sijawahi kuuonjaLadha ya mikojo? Ushaonja mkojo?
HahahaWanaume wa Dar ndio kinywaji Chao hiko usiwakaribishe wadada wa jf tuu pekee.
hahahahaHalafu mimi sio mnywaji....dance flow ndiyo ugonjwa wangu.
Nachezaga hadi matangazo ya DJ.
Itakuwa amesha onja huyoLadha ya mikojo? Ushaonja mkojo?