Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Ni maumivu gani makali ambayo huwa mnayapata na hamtaki kitu kilichosababisha hayo maumivu kirudie?

Tofauti na wanawake, wanazaa kwa uchungu ila utakuta mwanamke anarudia kuzaa watoto hata 4
Maumivu ya kuchapiwa na kujua anayekuchapia..!
 
Maumivu ya kuchapiwa na kujua anayekuchapia..!

Hayo maumivu muwe mnayaweka kwenye koromeo hapo shingoni. Hiyo ni pain box kwenu wanaume na msiache maumivu ya kuchapiwa yawapelekeshe mkafanya maamuzi magumu.

Haha kama tunawachit nyie mtupende tuu na kutupa hela na mavitu matamu matamu, hakika mtafurahia dunia pasi us machungu mnayopitia.

Much love to you men, to me wanaume ni washkaji zangu sana, marafiki zangu sana, wapenzi wangu tangu juzi jana leo kesho kesho kutwa na mtondo mtondogoo na milele daima dumu. Mahaba yangu kwenu hayana kususa hata kama mnatuchiti.

Kitachonifarakanisha na wanaume ni kutumia nguvu zao bin mabavu kudhihirisha hasira juu ya mwanamke.

Maneno haya asiyasome malabuku Asprin
 
Big Amen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan mam kubwa lol
 
Safi
 
Kusimamisha ungemwambia ni ishara kuwa bado uko hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…