Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Badilisha namna ya kuwaza! Motives behind kwenye mahusiano ni sex! Sasa tunafanya mengine ya ziada ili kunogesha mahusiano! Siwi na mpenzi eti ili tupige story
Oh sawa naheshimu mawazo yako[emoji120]
 
Swali jingine kwanini mnapenda kunyonya nyonyo, huwa Kuna raha yoyote mnapata?
 
Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu

sijui nimeeleweka ?
We nawe kichwa sijui kwanini
Hujagombea urais
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Ni ile baada , mengine ni maandalizi kama sherehe zingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…