1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #81
Mkuu ulimaliza mchezoMimi kuna mmoja nilienda kufanya scrub pale Tunduma, akaniambia naweza kuja kukufanyia hata chumbani kwako ukitaka, ila hiyo inakuwa laki moja pamoja na 1huduma nyingine zote za dharura utakazo hitaji pamoja na VAT [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, Tunduma mkuu UKIMWI unapatikana hata kwa kuvuta hewa tu, ukigegeda je? Sijarudi tena
Kumbee mkuu ushazisomaMekko zipo kama 4 kali kali. Nafika sana karibia zote ila sipendi kufanya Scrub. Huwa naona kama wahudumu wote wapo kibiashara zaidi. Na wana Lugha tamu tamu unaweza ingia kingi. Wako very Smart.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila uwe Na helaUkitaka kula watoto wakali hapa mjini zama kwenye hizi chimbo wala awanashida
Sent using Jamii Forums mobile app