Wadada Wa Chuo Wanagawa Nyapu Kirahisi Sana

Kumbuka kuanzia 2026 ARV ni kununua mzee
 
Mbona mimi sipati 😁😁
 
Twende kwenye hoja, unaumia nini kuona wanagegedwa kirahisi na wewe ukiwa ni mgegedaji mmojawapo
samahani mkuu, unajua wakati mwingine unaweza kuwa unafanya kitu ila moyo haupendi. Ndio maana nikaleta uzi hapa kwa masikitiko makubwa kuwahusu wadada hawa. Wao ndo wahanga wanatakiwa wabadilike.
 
Acha kupenda story za ngono.
 

Hakuna sifa ya kulala na mwanachuo, mwanachuo ni mtu aliyelipiwa mkopo baada ya kumaliza form six 6,

na ni wepesi kuambukizwa na kuambukiza magonjwa, Kama walioolewa wanaliwa kirahisi cha ajabu ni nini kwa wa chuo?

Mwanaume rijali na successfully ni Yule aliyefanikiwa kuoa, kufaa na kuzeeka na mke wake na watoto kufahamika!

Grow up!
 
ushauri mzuri sana mkuu,nimeuchukua na kuufanyia kazi soon as possible
 
kuna mahala umeona kuna story ya ngono tena?
Wadada wa chuo kugawa nyapu ndio nini? oa mkuu ARV huko tuendako zitauzwa maana serikali yako ya ccm haiaminiki, fedha zote kwa sasa wanaelekeza kwenye uchaguzi mkuu, lini watakufikiria wewe uliyepata UKIMWI HIV wa kujitakia kwa nyapu za wadada wachuo.
 
Inawezekana tangu zamani wanawake wamekuwa wakituliza hisia zetu na zao bila makelele ila sikuhizi wanaume tumekuwa na perepere nyingi mno. Hatuwezi kula tukanyamaza. Ukiomba mara mbili tatu ukapewa dunia nzima inajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…