Wadada wa JF mkoje jamani!

Hakuna asiyependa hela ndyo lakini tunatafuta na sisi za kwetu hatutegemei kuhongwa kama wewe hapo,, hivi unajua kama hakuna kitu kizuri kama kula hela ya jasho kwanza halafu nyingine zije kama nyongeza [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi love you more cute....humu watakatifu kwenye maandishi ni wengi sana lakini kwa chemba wengi wanapulizwa sana nyuchi na vinyeo....ila ndivyo hivyo...wanavyokupopoa unajibu AMINA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu mna maneno, mnaweza kuyatupa, wallah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu ana mapungufu na madhaifu yake, hakuna alio msafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…