Wadada wa jf wagumu na sana kugonga thankx.

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Wakuu,
Sijui kama ni mimi tu au na ninyi yanawapata,
utafiti wangu unaonyesha wadada wengi wa hapa jf ni wagumu sana wa kugonga thankx kwenye thread zinazopostiwa na mimi hapa jamvini, uwa najiuliza:-
Nina gundu?
Sina mvuto?
Nawakandia sana?
Napost pumba?
Aaah wadada nigongeeni thanks na mimi niote kitambiiiii.....!!
 
umenifurahisha kwa kweli.haya mimi ni mdada nakupa thans yangu,usiwe na wasiwasi,huna gundu,wala hivyo ulivyoviorodhesha,ni maoni yangu.ipokee thanks yangu kwa mikono 2
 

Aiseeeee!
Hivi mkuu wadada unawatambuaje hapa JF?
 
Hapana, huwa wanagonga hususan michelle, DA, Maria Roza.
Ila huwa hawachambui mambo mengi ya politics, michelle yupo fit ktk anga nyingi za uchambuzi na yupo very flexible kugonga 'senks'
 

yaani nikichanganya hii sredi yako halafu nikifikiria ushindi wa man u basi duh! usiku mwananaaaa.....za wanaume hutaki?
 
Leo kila mtu anawakilisha malalamiko yake!
 
Nazjaz sijui yuko wapi siku hizi, alikuja kasi sana na kutafuta watoongozaji, naona kaona Jf hamna maketi kahamia Mashada
 

Another KOKUDO calling for immediate nurture!.....Wapwaaaaaaaaaaaaaaaaaazzzzzzz!

Silently Watching!
 
Duuuu we ni mwanasiasa???
Mi kwenye siasa ni msomaji kuliko kuposti na kutoa thanks. Kwa hiyo ungekuwa mteja wa lile jukwaa la Maria Roza ningeshakupa thanks kama utitiri, manake mi ndo nashindaga kule. Kwa wakubwa kunaitwa wewe ni mkubwa? Karibu kule kwa wakubwa.
 
Dah! Kama mimi mgumu kweli. Naombeni dawa, nahisi haka ni kaugonjwa.
 

Leo huambatani na Teamo na Babu?
 

mfano mzuri wewe mwenyewe, wamekupa thanks 36, wewe umetoa 19 tu.
 
Ahahahaah! Kweli ni siku ya malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…