Wadada wa JF

Wadada wa JF

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,065
Reaction score
365
Hebu kama upo singo coment hapa ili watu tupate kujimwaya mwaya ebo.....uchoyo tu bana...my!
 
yale yaleeeeeeee,una sh ngapi benki Mkuu,jiandae kabisa na majibu maana utaulizwa sasa hivi,andaa na benki stetiment na balance sheet kabisa.halafu pia jiweke sawa kueleza kama una kabati la mbeo na stauti.
 
Hahahaha mkuu nimekupata bt kwan ni long term bana..'
 
yale yaleeeeeeee,una sh ngapi benki Mkuu,jiandae kabisa na majibu maana utaulizwa sasa hivi,andaa na benki stetiment na balance sheet kabisa.halafu pia jiweke sawa kueleza kama una kabati la mbeo na stauti.

una miakili kama yangu.
 
anaweza akawa mgodi flani lakini ni security guard.
security wanlipwa vizuri sana migodini af pia wana deal nyingi sana mle.
pengine security wa mgodini anakipato kikubwa kuliko hata injinia.
 
security wanlipwa vizuri sana migodini af pia wana deal nyingi sana mle.
pengine security wa mgodini anakipato kikubwa kuliko hata injinia.

wanalipwa sh ngapi na wana deals gani?
 
Yap yap naona vimwana washaanza kujileta yuhuuu....ngoja tuanze kujimwaya mwaya....ngoja nianze na huyu kipipi lazima atakua mtamu tu huyu...lol! my!
 
Back
Top Bottom