cock jogoo
Member
- Jul 27, 2023
- 8
- 16
Hilo nimeliona siku za karibuni. Hivi sasa wife kasafiri siku ya tatu leo na kaniacha na mtoto miaka miwili, dada ndo anashughulika nae kwa kila kitu. Kwa kweli wapewe maua yao.
Najiepusha sana kuwahiwahi kurudi nyumbani kutokana na hali ya hewa. Maana hali hii na wife hayupo nisije nikamharibia kazi mdada wa watu.
Najiepusha sana kuwahiwahi kurudi nyumbani kutokana na hali ya hewa. Maana hali hii na wife hayupo nisije nikamharibia kazi mdada wa watu.