MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Wanakata stimu kinoma 😄Ukiona hivo ujue kazaliwa Arusha au ameishi Arusha kwa muda mrefu... Hao wanaoongea hivyo ili kuwakamua asali waenjoy inabidi uwavutie bangi sababu wenyewe unakuta walishaonjeshwa na masela zao kipindi cha makuzi 😄😄
Pisi zinapendeza na zinaita ila mchawi ni kavu kinoma qmmkMwanangu umepitia hapo masama uone mapis walivyo wazur na wanavyopendeza
Tamba sasa na waswahil wakupe mapenziPisi zinapendeza na zinaita ila mchawi ni kavu kinoma qmmk
Ciao.!
Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi.
Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake.
Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man" haha
broo kakupa heshima kubwa, unaitwa arifu.Inaeza ikaamua kukuita broo
Ndio ila ukiwa unamoka unawapeleka speed wanayopendaWanakata stimu kinoma 😄
Mi hua nachapa tu nakuziacha hazina mzuka wa kuitamani tenaCiao.!
Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi.
Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake.
Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man" haha 😄