Wadada wa Kitanzania wanaotamba katika filamu

1. Hunikumbuki 2. Hujaninunulia valuu 3. Hunimisi tena siku hizi

Bado nasubiri untake radhi. Nihesabu?

.

hayo yote hapo juu sio kweli
sikutaki rahi mie sijakukosea biggy mbona unapenda kutumia ubiggy wako vibaya?? not fair n I will inform Bigirita
 
mkataa kwao mtumwa lakini mie kwa hili nipo tayari.........
Ni kweli bht, lakini zile filamu zao zinakatisha tamaa kuziangalia. yaani unaboreka na picha ukiangalia scene 1 tu. actor/actress hata kushangaa anaigiza, tutafika kweli?
 
Ni kweli bht, lakini zile filamu zao zinakatisha tamaa kuziangalia. yaani unaboreka na picha ukiangalia scene 1 tu. actor/actress hata kushangaa anaigiza, tutafika kweli?

nimewahi kuangalia movie moja ...'Confusion' ya kina Salama na Gadner ......I did regret kuinunua, nilipoteza pesa na muda wangu
the other one was Valentine day sijui...ya kina kanumba........yaaaak!!!
I wont watch again mpaka nithibitishiwe kiwango kimepanda....

sijui kama tunaenda kwanza forget about kufika
people are not creative wala innovative, mawazo ya wizi wizi tu, wanaijeria wafanye wao waibie ibie.....boring!!!
 
hawa kwenye red pia waigizaji? sikuwahi kujua. sasa hapo unategemea itakuwa movie au nini?
tatizo wanapoigiza wanawaza kuwa watakuwa wanaangaliwa na watu kwenye video, so wanapamba pasipopambika. sometimes tuwalaumu ma-director, sijui wana kazi gani hao jamaa, maana kiukweli sioni kazi yao kabisaaaaaaaaa
 
tena hao ndo waliharibu filamu kabisaaa...wamepooza kama nyama ya kondoo

Director???? mamii kibongo ongo hata mi nikiigiza movie moja next one naidairect mwenyewe, unategemea nini hapo??
 
Oooh Gal! You need communion of life, love and truth.....learn to appreciate others efforts!
 
Oooh Gal! You need communion of life, love and truth.....learn to appreciate others efforts!
wat if there is nothing to appreciate Masa??
niwe mnafiki??
 
wat if there is nothing to appreciate Masa??
niwe mnafiki??

Unaweza kukaa kimya maisha yakaendelea....! Kuliko kuwa mnafiki kusaga kila kitu wakati wenzako wamethubutu
 
Unaweza kukaa kimya maisha yakaendelea....! Kuliko kuwa mnafiki kusaga kila kitu wakati wenzako wamethubutu

ooh kumbe kwa kusema nilichoona nimkuwa mnafiki? 9will consult my TUKI ASAP)

Sijaona walichothubutu.....bora kuwa moto au baridi, vuguvugu haina nafasi kwangu Masa!!!
waendelee kujaribu......
 
ooh kumbe kwa kusema nilichoona nimkuwa mnafiki? 9will consult my TUKI ASAP)

Sijaona walichothubutu.....bora kuwa moto au baridi, vuguvugu haina nafasi kwangu Masa!!!
waendelee kujaribu......

Bora useme ukweli ili wajifunze kutokana na makosa yao.Sasa ukikaa kimya watajiona mastaa kumbe upuuzi mtupu.
Na hilo ndio tatizo letu waTZ hatupendi kuambiwa ukweli ila tunapenda sifa za kinafiki.
 
Bora useme ukweli ili wajifunze kutokana na makosa yao.Sasa ukikaa kimya watajiona mastaa kumbe upuuzi mtupu.
Na hilo ndio tatizo letu waTZ hatupendi kuambiwa ukweli ila tunapenda sifa za kinafiki.

tena nimesema kwa roho safi tu
let them take it as a challenge (if at all watasoma maanishi yangu)
 
bado hamjapata picha za mastar wetu jamani ..mie sijafanikiwa
 
bht umesema, Valentine day ni copy na kupaste kwenye movie ya zimbabwe "I WANT A BABY" nilinunua, nilijuta kupita kiasi, walichoshindwa copy and paste ni Title, lakini kila kitu mle kimeigwa. ndicho tunachojua wabongo, kuiga vya watu, kukaa chini na kukuna vichwa hatuwezi, yote hii shule hakuna! vile wanapata vijisenti kwenye movie zao they think ndio maisha, kumbe hawajui maisha bila kidato ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
elimu ina nafasi kubwa tu Sal kwenye hii fani
kipaji bila elimu matokeo yake ndo hayo
they are never creative, kutulisha sumu tu ndo lilibaki....ngoja niseme ukweli niongeze maadui.....
 
uko wapi wewe, director gani! si ni wao wenyewe. movie za kanumba mwanzo hadi mwisho ni yeye, script writer, director, music na utumbo wote unaohusiana na shooting za movie, ni yeye mwenyewe, unategemea kitu kitatoka kizuri. yote hiyo mambo ya kudhulumiana. anaanza kua act asubuhi jioni movie tayari, in a weeks time iko sokoni, what do you expect?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…