Wadada wa kona bar ni machangu kweli au matapeeli

kwani we Erickb52 unaishi wapi ipo maeneo ya sinza makaburini mbele kido kabla hujafika bamaga

Huko mida ya usiku sinaga umaarufu....nshakusoma...ntapatembelea nikija next time
 
Acha kuhangaika huko! Njoo hapa viwanja vya Mabibo hostel night.
 
Acha kuhangaika huko! Njoo hapa viwanja vya Mabibo hostel night.

mkuu ma
bibo sehemu gani mi naifaham rambo bar hii sehem ni ovyoovyo lakini inakesha ipo maeneo ya kituo cha mahakama ya ndizi ng'ambo yake pale kuna madada poa wa bei poa sana .
 
Ha Ha Haaaaaa !

Unataka kuchezea umeme? Angalia usije ukarudi utokako kwa miguu.

Jaribu uwaulize na utapata majibu kem kem. GOOD LUCK. Lakini usije ukamlaumu mtu baadae.
 
Viwanja vya Mabibo Hostel viko huku Ubungo.Makazi ya madenti UD
 
Imagine the leisure of three minutes could cost all your life.
AIDs kills
 
Kiukweli mvuto hawana,,mwingine pepfanta,mwingine t%k¤o moja juu jingine chini ili mradi tafrani tu
 
kwani we Erickb52 unaishi wapi ipo maeneo ya sinza makaburini mbele kido kabla hujafika bamaga

Ipo sinza africa sana.ebwana wale ni matapeli ukienda kichwa kichwa wanakuliza!!
MP.
 
hapa ni jijini...
utapeli ndo umeota mizizi...
ila wanalika...
paki mbali watakuja tu...
alafu nenda kachinjie mbaaali sio guest anayotaka yy...
na ucthubutu kumpeleka geto...
atakukusanyia watu asubuhi akidai hela zaidi...ova!
 
asante mkuu umenisaidia kwenye kumtoa mbali na maeneo husika.. .tatiza watu wale mshipa wa aibu hawana kama wanao utakua umeziba.....
 
asante mkuu umenisaidia kwenye kumtoa mbali na maeneo husika.. .tatiza watu wale mshipa wa aibu hawana kama wanao utakua umeziba.....

haya...
na ukila uje useme humu kwenye mkeka!!
 
Dogo upo mkoa gani ambao una vumbi?
 
Dogo upo mkoa gani ambao una vumbi?

mkuu mikoa yote inavumbi.! kama ni starehe dar ndio top labda uko mkoa gani kunakoendana na dar
 
mkuu mikoa yote inavumbi.! kama ni starehe dar ndio top labda uko mkoa gani kunakoendana na dar

Mi nipo Moshi, knjaro...mji msafi, hakuna vumbe....clubing kama kawaida. Dar ni wapi hakuna vumbi? au tunaongelea vumbi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…