Wadada wa kona bar ni machangu kweli au matapeeli

Mi nipo Moshi, knjaro...mji msafi, hakuna vumbe....clubing kama kawaida. Dar ni wapi hakuna vumbi? au tunaongelea vumbi gani?

Kumbe moshi hakuna vumbi?!lol .....
MP.
 
Mi nipo Moshi, knjaro...mji msafi, hakuna vumbe....clubing kama kawaida. Dar ni wapi hakuna vumbi? au tunaongelea vumbi gani?

mkuu naongelea vumbi la burudani.....ingekua vumbi la udongo mbona dar ndo inaongoza pamoja na uchafu wa kila aina na usiombe inyeshe wanashindana kufungulia vyoo.....lakini kwa starehe kila siku sherehe...
 

daaaah mkuu kwani kwenye chuchu wanaweka nini??
 
idawa tuletee feedback.
 
Last edited by a moderator:
Tuanze na wewe tukuweke kundi gani kati ya hayo mawili uliyoyataja?
 
hali ngumuu..siku hz story za machangu zimepungua
 
we angushaaa wallet tuuuu afuuu iwee imenonaa wekundu wekunduuuu ndo utaonaaa utakujaa kuombaa ushauriiii kwambaa unawakimbiajeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…