zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Wadada wa mjini wana visa sana.Katika watu wenye masharti wakitaka kuolewa ni wadada wa mjini yaani masharti na vigezo Kama waganga.
Wanachagua wanaume kwa wadhifa,makabila,muonekano na vinginevyo hata sio vya kutaja. Yaani unakuta mdada anasema mimi siwezi olewa na mwanaume mfupi. Mara Mimi siwezi olewa na mwanaume asiye na elimu. Wanashindwa kuelewa akili siyo elimu na elimu siyo akili.
Basi walishajipa kichwa na kuona wanaume wanaojua mahaba na kutunza wanawake ni wanaume wa Dar.
Tena msidhani kwenye ndoa za makabila mengine hakuna tabu.Bora ata uchague mwanaume kwa hisia na sio vigezo.
Nimetumia hiyo mifano Kuleta mashiko Ila nimejumuisha kuwa wanawake wa mjini wana vigezo na masharti lukuki wakitaka kupenda/kuolewa.
Mpende mtu kwa hisia sio masharti na vigezo.
N.B The thread stater himself is A Kurya man