Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Aisee, hapo mzee baba ulicheza kama Ronaldo.
 
Wanalika kirahisi hadi raha..
 
Wanalika kirahisi hadi raha..
Kabisa ila inakua sio lengo hatuwezi kushindana na tulipotoka bora utafte amabe mnahisi unaweza kuplan na yey jambo na mkafanikiwa sio japokua mungu ndo mpangaji ndoa ila leo huyu kesho yule hio sio maisha.
 
Wanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Huyo nae ni fala tu,hawa ni wa kuhonga kidogo dogo ukimuona yuko money oriented unamkula mara mbili kisha unasepa...
 
Wanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Mbali na siasa pamoja upastor(pastorprenuer) biashara nyingine yenye malipo mazuri nchii hii hasa ukilinganisha na hali ya uchumi ya sasa ni MAHUSIANO(udangaji), yaan mademu sasa hivi hawajali afya zao hata kama anajua unao wengine kumi yeye twende kazi mradi anapata chambi.
 
Wanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Hahaah tena unakuta anatoa hyo hela na Samahani baby najua hela haitoshi after one week ntakuongezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…