Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Siku hizi kila mwanamke unaekutana nae atakwambia mwanafunzi mara mfanyabiashara ili tu akuvuteni maana nyie si ndo mnajitia mnapenda hayo kaka zangu kumbe mtu hasomi wala nini anauza k mjini aishi.
Ndiyo maana huu ujinga mimi sitaki kabisa. Sasa hivi nimeamua kutafuta Mwanamke "bikira" ili tuyajenge. Kwangu mimi kigezo cha Mwanamke wa kuoa ni lazima awe "bikira" kwanza, sura au chura au "ujasiriamali" au "elimu", hivyo siyo kigezo kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…