Boyz II Men - End Of The Road - YouTube
Nadhani kuna thread kama hii imewasha wahi tolewa hapa..
anyway mi sauti inayoniingiza matatani ni hii ya kwenye huu wimbo
ukisikiliza kuanzia dakika ya 2.37 hiyo ndo sauti niipendayo..
Nyie mambo yenu pelekeni huko PM. . . hatuhitaji kujua kua wewe na Zogo mnapendana sijui mnatongozana.
Ohhh alafu kuna mtu kaniambia nikutakie weekend njema. . . kwa taarifa zaidi nione baadae.
kama ya bi kidude
kama ya ephraimu kibonde
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!
Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.
Mi nshawajua Lizzy....ni
Barry White na Rick Ross...
Napenda wanaume wenye sauti kama . . . . , . . . . , . . . . . na . . . . . !!
Ungekua unawajua ningekutajia ili usikie mwenyewe zinavyolipa.
nilijua tu.....napenda sauti ya shukuru kawambwa.
of course sauti ya bishanga inakumaliza kabisa,au vipi?
kama ya wema sepetu
of course sauti ya bishanga inakumaliza kabisa,au vipi?
ukiacha kujibu na mimi nagoma kutuma..kudadeki
mi sijambo hofu kwako mama maua..lol