Wadada wa Tigo na vigauni vyao mlimani city!!

Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
Halafu utakuta ni vidada virembo tu mpk najiulizaga ivi huwa wanalipwa sh ngapi wale?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…