Wadada wa town bwana

Wadada wa town bwana

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
717
Reaction score
666
Habari wazee,

Nipo kwenye foleni za hapa town muda huu, kama unavojua Dar es salaam barabara nyingi za hapa ni ile two ways in two ways out. Upande wangu wa kushoto kuna dada anaendesha IST nyeupe nashangaa kuona kila tukisogea kidogo anachukua ile wanapakaga mdomoni nyekundu anashusha kile kioo cha mbele anajipaka tena.

Kwani ile si huwa wanapakaa tu mara moja kwa siku wakitoka home huyu kama amefanya chakula/ analamba.

Wadada hii imekaaje?
 
Angalia mbele wewe utapitishwa kituo acha kushangaa vya pembeni havikuhusu huenda kuna mshenzi anaenda kuibiwa huko
 
Dahh..
Binafsi huwa namuomba sana Mungu aniongoze, ili nijiepushe kujiingiza kwenye baadhi ya mijadala aiseee
 
Back
Top Bottom