Wadada wa usafi stendi mpya ya Dodoma ni warembo

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Aliye wapembua na kuwaajiri pongezi zimfikie, ukikaa pale ukiwa unasubiri usafiri huchoki kungojea bus, sura safi, warembo wakarimu pia wana chura ya kutosha.

Huu ni utalii wa ndani.
 
Hicho ndio kinakufanyaga ushindi stendi kuchungulia vyura vya watu kila basi linalokuja hupandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…