nentewene
Senior Member
- Jun 9, 2017
- 144
- 94
Kuna wadada wakawaida..ila utawatamani.
Ukiwatazama unashiba..unajiona wathamani.
Ni nzuri yao haiba..hawataki tafrani.
Maneno yao ni tiba..yanatupa ahueni.
Mapenzi yakuiba..hawayataki asilani.
Hawa wenzangu vingariba..sura wali maini.
Wasoma majarida..wanajiita maslay queen.
Wanajiona mababa..tena wanavisirani.
Wengi wao makahaba..Wala siwatukani.
Midomo yao chai Jaba..wanapenda upinzani.
Kurudi nyumbani saa Saba..sijiui kawaroga Nani.
Wanaume za watu kukaba..hiyo ndio yao kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app