Jitahid wakat mwingine uandikie mkono basi, huu utaratibu wa kuandikia mguu sio mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye jehe hapo ndo nimeacha kusoma though nimepoteza dakika 3 tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Nes mzeemadaktari kama hawa ndio wanaoua wagonjwa hapo mlongazila
Vyuo vya uuguzi hawafundishi kupangilia vizuri uandishi basi sawaHajasomea uandishi wa habari, kasomea uuguzi. Kafundishwa kuandika vizuri saa ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app